• Mawasiliano Yetu |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Ifakara Town Council
Ifakara Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Ifakara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Wasifu wa Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Ujenzi
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu & Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo,Ushirika & Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Manunuzi & Ugavi
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mkaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Uwekezaji
  • Huduma
    • Ukodishaji wa Mitambo
    • Upimaji,Usanifu wa Viwanja,Majengo &Mashamba
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za kudumu
    • Kata
      • Mbasa
      • Katindiuka
      • Mlabani
      • Lumemo
      • Kibaoni
      • Viwanja sitini
      • Ifakara
      • Michenga
      • Lipangalala
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • CHF iliyoboreshwa
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Kanuni
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
  • Mifumo

Taarifa ya kitengo cha Tehama


Kitengo hiki kinasimamia na kuratibu matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwenye Halmashauri ya Mji wa IFAKARA

 kutoa usaidizi wa kiufundi kwa mfumo jumuishi wa Kompyuta wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara ya watumishi wote kwnye Halmashauri ya Mji wa IFAKARA na mifumo mingine pamoja na Vifaa vya TEHAMA.Aidha, Kitengo kinatoa huduma za kitaalamu kuhusiana na matumizi ya TEHAMA ndani ya  Halmashauri ya Mji wa IFAKARA

kama ifuatavyo;

a) Kushughulikia utekelezaji wa Sera ya Serikali Mtandao, miongozo, kanuni na viwango vya matumizi na utekelezaji wa TEHAMA ndani ya Halmashauri ya Mji wa IFAKARA

b) Kuweka mifumo na mitandao ya Serikali ndani ya Halmashauri ya Mji wa IFAKARA

c) Kutoa msaada wa matumizi sahihi ya teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya Halmashauri ya Mji wa IFAKARA

d) Kuhakikisha vifaa vya TEHAMA vinahudumiwa kiufundi na kwa wakati ndani ya Halmashauri ya Mji wa IFAKARA

.

e) Kutoa msaada wa kiufundi na utaalamu wa kununua Vifaa na Mifumo ya TEHAMA ndani ya Halmashauri ya Mji wa IFAKARA

f) Kuhudumia na Kuhuisha mifumo na miundombinu ya mawasiliano (LAN/WAN) ndani ya Halmashauri ya Mji wa IFAKARA

; na

g) Kuhudumia viongozi wastaafu wa Kitaifa kwa kutoa msaada wa kiufundi upande wa mifumo na vifaa vya TEHAMA ndani ya Halmashauri ya Mji wa IFAKARA

.

  Mtandao kiambo

Kitengo cha mawasiliano Halmashauri ya Mji wa IFAKARA

Kitengo  kinaongozwa na Mkuu wa kitengo cha TEHAMA kwa sasa katika Halmashauri ya mji wa IFAKARA

Kitengo kinatoa huduma ya upatikanaji wa taarifa, mawasiliano ya Wizara kwa umma na vyombo vya habari.

Kazi zake:

Kuandaa na kutoa machapisho, vipeperushi, makala, majarida n.k. kwa lengo la kuhamasisha umma juu ya Sera, programu, kazi na mabadiliko yanayotokea ndani ya Halmashauri ya Mji wa IFAKARA


Kuratibu mazungumzo ya Halmashauri ya Mji wa IFAKARA

 na vyombo vya habari.
Kushiriki katika mijadala ya Halmashauri ya Mji wa IFAKARA

 na umma pamoja na vyombo vya habari.
Kuhamasisha utekelezaji wa sera na programu za Halmashauri ya Mji wa IFAKARA


Kuratibu maandalizi ya taarifa mbalimbali zinazotolewa kwenye makongamano, mikutano, na vyombo vya habari.
Kuratibu uandaaji na utoaji wa jarida la Halmashauri ya Mji wa IFAKARA
Kuratibu uwekaji wa taarifa katika tovuti ya Halmashauri ya Mji wa IFAKARA

Tovuti ya Halmashauri

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA JUU YA UUZAJI VIWANJA ENEO LA KAPOLO(NAKAFURU) June 16, 2020
  • TANGAZO LA KUJILINDA NA HOMA YA MAPAFU(COVID 19) May 12, 2020
  • TANGAZO LA NANENANE 2020 July 29, 2020
  • Halmashauri ya Mji wa Ifakara inaujulisha umma kuwa sheria ndogo zitaanza kutumika kuanzia tarehe 1 februari,2018 ,kwa mujibu wa sheria. January 16, 2018
  • Ona yote

Habari Mpya

  • MGENI RASMI NAIBU WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI AMETEMBELEA BANDA LA MAONESHO NANENANE

    August 04, 2020
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA KILOMBERO AKITEMBELEA UJENZI WA JENGO LA UTAWALA

    July 17, 2020
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA KILOMBERO

    July 17, 2020
  • MILIONI MIA MOJA NA TISINI (190,000,000/=) ZATOLEWA KATIKA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA KWA AJILI YA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020

    June 25, 2020
  • Ona yote

Video

BARAZA LA MADIWANI MJI IFAKARA LA KUFUNGA MWAKA 2016/2017
More Videos

Kurasa za Haraka

  • CHF
  • Ramani ya halmashauri ya mji wa Ifakara
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2017
  • BOFYA HAPA KUOMBA KITAMBULISHO CHA WAJASILIAMALI WADOGO

Kurasa Mfanano

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya utumishi wa uma
  • Tovuti ya mkoa wa Morogoro
  • Tovuti ya Ajira Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Mawasiliano Yetu

Other Contacts

   

    • Sera ya Uhifadhi
    • Kanusho
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa