Ziara ya Mkuu wa Wilaya Mhe. Ismail Mlawa akiongozana na Mkurugenzi wa Halmashauri ndugu Kanyala M. Mahinda pamoja na wataalamu wa Halmashauri katika ukaguzi ujenzi wa jengo la utawala na kufanya kikao kifupi na wasimamizi wa mradi ili kupata ufafanuzi wa kutosha pamoja na kutaka kujua ni lini ujenzi utakamilika. Pia Kaimu Mhandisi wa Halmashauri Bw. Linus J. Mdemu alisoma taarifa ya utekelezaji wa mradi huo tangu ulipoanza mpaka hatua iliyofikia sasa.
Mwisho, Mhe. Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi walifanya kikao kifupi cha kujitambulisha kwa Watumishi wa Halmashauri ya Mji kilichofanyika katika Ukumbi mdogo wa Halmashauri. Mambo mbalimbali yalisistizwa ambayo ni kama yafuatayo:-
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa